AbcSongLyrics.com

Eric Wainaina Mariana english translation


Eric Wainaina Mariana song lyrics
Eric Wainaina Mariana translation
mariana mariana, nimechoka kusota
Mariana Mariana, I've had enough of being poor
nimeamua leo ni leo, nitabadili picha
I've decided today is the day that I will change the narrative
mariana mariana, niliomba unipe mwaka
Mariana Mariana, I asked that you give me time (one year)
usitupe upendo wetu, na usiamke kutoka ndoto yetu
Do not throw our love away, and don't you wake up from our dream
nilinunua baisikeli, kupitia mkopo wa benki,
I bought a bicycle using a bank loan
kusafirisha abiria, lakini iliibiwa,
To transport passengers but it was stolen
mariana mariana, ulitafuta visa
Mariana Mariana, you looked for a visa
yakuenda nchi ya uropa
To go to a country in Europe
ukaniacha juu yapesaa
Then you left me because of money
hakunatakae elezaa
No one can explain
kukuu penda vile nakupenda
Loving you the way I do
najua upendeo hauliwi
I know love is not eaten (like food)
lakini moyo haudanganywi
But the heart is not lied to
nilinunua shanbaa
I bought land
na nilipanda mimiea
And planted crops
ya kuuza marikiti
To sell in Marikiti
lakini ukaame ukanirudisha magotiini
But the drought brought me back to my knees
wowwowoo
Wowowoo
uhuhuhu
Uhuhuhu
ohohoho
Ohohoho
instumentals
Instrumentals
mariana mariana
Mariana Mariana
nilikua nimexhoka
I got tired
kwa vile umaskini
Since poverty
utafanya unitoroke
Will make you leave me
mariana mariana
Mariana Mariana
nilikomboa bunduki
I hired a gun
niliamua leo ni leo
I decided today is the day
nilikua na mpango mufti
I had an elaborate plan
kama vile kewnye muvi
Just like in the movies
nilingia kwa benki
I went into a bank
nilisema lala chini
I told them to lie on the ground
nikajaziwa tikiti
They filled my bag with money
badi mimi ni huyo nikajivuta upesi
I escaped swiftly
nikauficha mzigo
I hid the bag
na nimeiba gari
I then stole a car
na nikaenda mmwendo kadi
And drove fast
lakini kadi haishindi risasi
But the speed could not surpass that of a bullet
zinanyesha kama mvua
They (Bullets) are raining on me
naomba mungu atani pokea
I pray God will receive me
ohhohho wouoh
Ohhoho wouoh
ukiulizwa kwanini
If they ask you why I did it
kwamakumbusho yangu
At my funeral
waelze nilikataa kuishi na matumaini pekee
Tell them I refused to live on wishful thinking only
mariana mariana jambo la mwisho kwa mizizi ya mti wetu nimekuachai zawadi iliiusinitoroke
Mariana Mariana, one last thing, by the roots of our tree I've left you a present so that you will never leave me