AbcSongLyrics.com

Cassim Mganga Usiende Kwa Mganga song lyrics

Cassim Mganga Usiende Kwa Mganga song lyrics
Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, Najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, Najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda'Najihiso rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha
Wanaosema asali inazidi tamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanausema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya
Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usinde mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
Si unajua mihangaiko yangu jua kali, Nikirudi nimechoka
Nipokee basi vifurushi
Nipige na busu
Nipembelezee
Unipikie chakula kizuri mpenzi
Nile nishibeee, Nikushukuru
Unizidishie mapenzi zaidi
Unayonipa nisiende kwengine eeeh
Wanaosema asali inazidi tamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanausema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya
Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usinde mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaa